Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Mkataba wa DP World na serikali ya Tanzania wazua upinzani mkali
27/07/2023 Duración: 11minBunge la Tanzania limeridhia mkataba wa uendeshaji wa bandari nchini humo kati ya Serikali ya Tanzania na ya Dubai.
-
Taarifa ya Habari 25 Julai 2023
25/07/2023 Duración: 17minWaziri Mkuu Anthony Albanese, amesema Australia inahitaji jiandaa kwa msimu wa moto wa vichaka ujao, wakati mioto ya vichaka inaendelea kuchoma maeneo ya Kaskazini ya dunia.
-
Gov Khalif "asilimia 60 ya Mandera iko chini ya udhibiti wa Al Shabaab"
25/07/2023 Duración: 07minGavana wa Kaunti ya Mandera Mohamed Adan Khalif, amesema asilimia 60 ya kaunti yake iko chini ya udhibiti wa Al Shabaab.
-
Taarifa ya Habari 23 Julai 2023
23/07/2023 Duración: 16minMfumo wa sera ya nyumba jimboni Victoria, wapokewa kwa hisia mseto na baadhi ya wadau jimboni humo.
-
Taarifa ya Habari 22 Julai 2023
23/07/2023 Duración: 05minMweka hazina wa taifa Jim Chalmers ametetea mfumo mpya wa ustawi wakitaifa wa serikali, katika jibu kwa ukosoaji kuwa baadhi ya data inayo tumiwa imepitwa na wakati.
-
Germain "nataka leta aina mpya ya siasa DRC"
20/07/2023 Duración: 16minKampeni za uchaguzi mkuu zime anza katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Taarifa ya Habari 18 Julai 2023
18/07/2023 Duración: 17minSerikali ya shirikisho leo imetangaza kuanzishwa kwa vituo vyakusomea vya vyuo vikuu, katika vitongoji vya nje ya miji mikubwa. Vituo vipya thelathini na nne, vita anzishwa katika maeneo ambayo hayana vyuo na, ambako asilimia ya umma yenye elimu ya juu ziko chini.