Alfajiri - Voice Of America

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editor: Podcast
  • Duración: 24:59:14
  • Mas informaciones

Informações:

Sinopsis

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.Ratiba: Monday-FridaySaa (kwa saa za huku): 06:00UTC saa ya kimataifa 0300Muda: 30Sikiliza: Podcast

Episodios

  • Burundi yapokea wakimbizi 10,000 waliokimbia mapigano ya hivi karibuni mashariki mwa DRC - Februari 18, 2025

    18/02/2025 Duración: 29min
  • Maafisa wa ngazi ya juu wa Marekani na wanadiplomasia wa Russia kukutana Saudi Arabia kwa mazungumzo juu ya vita vya Ukraine - Februari 17, 2025

    17/02/2025 Duración: 29min
  • WFP lajitahidi kufikisha misaada ya chakula kwa watu wote wa Sudan waliyotatizika kutokana na vita. - Februari 14, 2025

    14/02/2025 Duración: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Uhuru ashauri viongozi wa Afrika kujifunza kujitegemea badala ya kutegemea mataifa ya kigeni. - Februari 13, 2025

    13/02/2025 Duración: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Trump anaonekana kubadili msimamo kuhusu mpango wake wa kuchukua udhibiti wa Gaza - Februari 12, 2025

    12/02/2025 Duración: 29min
  • Zaidi ya wanajeshi 100 watorokea Rwanda kufuatia mapigano ya Goma. - Februari 11, 2025

    11/02/2025 Duración: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Waasi wa M23 wasemekana kukaribia kabisa kuuchukua mji wa Goma mashariki mwa DRC. - Februari 10, 2025

    10/02/2025 Duración: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Umoja wa Mataifa waanza mazungumzo na M23 kupeleka misaada Goma - Februari 07, 2025

    07/02/2025 Duración: 30min
  • Marekani yasusia mkutano wa G20 utakaofanyika Afrika Kusini - Februari 06, 2025

    06/02/2025 Duración: 29min
  • Trump apendekeza Wapalestina wahamishwe kutoka Gaza na wapelekwe katika nchi jirani za Kiarabu - Februari 05, 2025

    05/02/2025 Duración: 30min
  • Muungano wa makundi ya waasi watangaza kusitisha mapigano mashariki mwa DRC kuanzia Februari 4 - Februari 04, 2025

    04/02/2025 Duración: 29min
  • Trump akiri kuwa hatua yake ya kuziwekea ushuru Canada, Mexico na China itakuwa na madhara kwa Wamarekani - Februari 03, 2025

    03/02/2025 Duración: 30min
  • Wabunge wa chama tawala wa Zimbabwe wapanga kufanya marekebisho ya katiba ili kuruhusu muhula wa tatu wa Rais. - Januari 31, 2025

    31/01/2025 Duración: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Zaidi ya mamluki 280 kutoka nchi za Ulaya washikwa mateka na M23 na kupelekwa Rwanda - Januari 30, 2025

    30/01/2025 Duración: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Maelfu ya wakazi wa Niger, Mali na Burkina Faso waunga mkono uamuzi wa nchi zao kujiondoa kwenye ECOWAS. - Januari 29, 2025

    29/01/2025 Duración: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Mali yachukua tani tatu za dhahabu kutoka kwa kampuni ya Barrick Gold ikiwa sehemu ya mzozo wa kifedha kati yao. - Januari 28, 2025

    28/01/2025 Duración: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Idadi ya vifo kutokana na mioto ya California yapita 20. - Januari 27, 2025

    27/01/2025 Duración: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Trump atishia kuziwekea ushuru kampuni za kigeni zitakazopuuza wito wake wa kuja kuwekeza Marekani - Januari 24, 2025

    24/01/2025 Duración: 29min
  • Trump alitaja kundi la Wahouthi wa Yemen kuwa kundi la kigaidi la kigeni - Januari 23, 2025

    23/01/2025 Duración: 29min
  • Ujumbe wa Wamarekani ziarani nchini Rwanda kutafuta fursa za uwekezaji - Januari 22, 2025

    22/01/2025 Duración: 29min
página 1 de 3