Sbs Swahili - Sbs Swahili

Shangwe na furaha ya shuhudiwa jijini Fairfield, NSW

Informações:

Sinopsis

Wanachama wa jumuiya ya DR Congo wanao ishi jimboni NSW, Australia walijumuika kwa sherehe maalum katika uwanja wa Fairfield Park, Fairfield, NSW.