Sbs Swahili - Sbs Swahili

Wakimbizi wafunga magoli na kujenga madaraja

Informações:

Sinopsis

Wachezaji wa soka katika mashindano mjini Perth, wanafanya mengi zaidi yakufunga magoli, wanajenga madaraja kati ya jamii naku mulika nguvu ya jamii zawakimbizi wa Magharibi Australia.