Sbs Swahili - Sbs Swahili

Taarifa ya Habari 20 Juni 2025

Informações:

Sinopsis

Australia imesimamisha oparesheni katika ubalozi wake katika mji mkuu wa Iran, nakuamuru kuondoka kwa maafisa wote wa Australia kwa sababu yakudorora kwa mazingira ya usalama.