Jua Haki Zako
EAC : Haki za wanawake maeneo ya vita
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:09:57
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Katika kila kona ya dunia, sauti za wanawake zimekuwa zikipigania jambo moja kuu – haki. Haki ya kusikilizwa, Haki ya kuthaminiwa, Haki ya kupewa nafasi sawa. Na hapa Africa Mashariki ingawa hatua zimepigwa, safari ya mwanamke kuelekea usawa bado ina changamoto, katika hali ya vita kama vile, Mashariki mwa DRC, nchini Sudan Kusini na kaskazini, kaskazini mwa Ethiopia na pia Musumbiji. Skiza makala haya kufahamu juhudi zinafanywa na shirika la Women For Women kutetea haki za wanawake kwenye maeneo ya vita, licha misaada kupunguzwa.