Changu Chako, Chako Changu
Maadhimisho ya miaka 15 ya RFI Kiswahili na siku ya Kimataifa ya Kiswahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:19:54
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Ni jumapili nyingine tunakutana mimi na wewe mskilizaji katika makaka haya Changu Chako Chako Changu, ambayo leo ni maalum kabisa, kuhusu maadhimisho ya miaka 15 tangu kuanza kwa matangazo ya idhaa ya kiswahili ya radio France Internationale RFI. Julai 5 mwaka 2010 huko jijini Dar es salaam nchini Tanzania, tarehe ambayo inakwenda sambamba na maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya lugha ya Kiswahili duniani. Mimi ni Ali Bilali. Bienvenue, ama Karibu