Habari Rfi-ki

Maandamano ya kumbikizi ya kuwauwa kwa vijana zaidi ya 60 mwaka jana

Informações:

Sinopsis

Waandamanaji wakabiliana na polisi siku nzima wakati ya maandamano ya kuwakumbuka watu waliopoteza maisha wakati wa maandamano ya mwaka jana ya Gen Z