Habari Za Un
Ujumuishaji wazazi wa kiume kwenye malezi ya watoto waleta manufaa kwa jamii
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:02:12
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Katika Kaunti ya Kilifi, iliyoko pwani ya Kenya barani Afrika, Mpango wa Kuboresha Lishe kwa kupatia jamii Fedha na Elimu ya Afya (NICHE) unasaidia kuwaelimisha wazazi kuhusu umuhimu wa baba na mama kulea watoto wao kwa pamoja, mradi unaotekelezwa na shirika la Umoja wa MAtaifa la kuhudumia watoto, UNICEF. Assumpta Massoi anamulika moja ya familia zilizonufaika.