Gurudumu La Uchumi
Sehemu ya Kwanza: Uchakataji taka za plastiki kwa vijana
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:10:01
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Msikilizaji takwimu zinaonesha kuwa, ifikapo mwaka 2050, idadi ya watu barani Afrika itaongezeka kufikia bilioni 2.5, ambapo zaidi ya nusu ya watu hawa watakuwa ni vijana walio na umri wa chini ya 25. Hata hivyo Ujasiriamali wa vijana unaonekana kama suluhisho linalowezekana kwa changamoto hii. Msikilizaji juma hili nimebahatika kuwa na mgeni studioni nae si mwingine bali ni Kenneth Ochien’g, ambaye yeyé anajihusisha na uchakataji upya wa taka za plastiki kwa matumizi mengine.