Jioni - Voice Of America
EU imetoa onyo kali kuhusu hali mbaya ya usalama nchini Sudan hasa kufuatia mapigano ya hivi karibuni katika Kaunti ya Nasir, Upper Nile. - Machi 14, 2025
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:59:59
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.