Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Kizza Besigye wa Uganda ashtakiwa kwa uhaini, Kenya na Sudan zatofautiana kuhusu RSF
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:19:58
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Habari za wiki hii ni pamoja na hali kule nchini Mashariki mwa DRC, utata wa kidplomasia uanozingira Kenya na Sudan, tutaangazia pia kesi ya kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye, lakini tutaangalia kipindi cha mpito nchini Niger. Tumedadisi pia hali kufikia sasa ya vita vya kule Gaza na misimamo ya viongozi mbalimbali wa ulimwengu.