Habari Za Un
Mkimbizi kutoka DRC aliyekimbilia Uganda akumbuka ukatili uliofanywa na waasi
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:02:08
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Sina mpango tena wa kurejea nyumbani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, ni kauli yake Twagirayesu Gato, mwanafunzi huyu raia wa DRC aliyekimbia nchini mwake mwaka jana na kuingia Uganda ambako sasa anapata hifadhi. Amesema hayo kwenye video ya shirika la Umoja wa MAtaifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR iliyochapishwa katika ukurasa wa YouTube wa shirika hilo. Kufahamu msingi wa kauli hiyo ya Twagirayesu, ungana na Sharon Jebiichi.