Habari Za Un
OCHA yasihi kufunguliwa kwa viwanja vya ndege Goma na Kavumu - DRC
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:01:55
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa likifanya kikao cha dharura jijini New York, Marekani kujadili hali ya usalama inayozidi kuzorota kila uchao huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, Mratibu wa Umoja wa Mataifa wa Masuala ya kibinadamu nchini humo, Bruno Lermaquis amesema kupanuka kwa mzozo huo kumezidi kugharimu maisha na mustakabali wa raia. Selina Jerobon na maelezo zaidi.