Jioni - Voice Of America
Uganda imeanza majaribio ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa Ebola ambao umeua mtu mmoja katika mlipuko uliotangazwa wiki iliyopita. - Februari 04, 2025
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:29:59
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.